This is possible because of donations from our community. If you value the privacy that Tor offers yourself and others, please make a donation today. You’ll ensure Tor continues to provide online privacy to everyone who needs it.
jibu fupi ni ndio, unaweza kuperuzi kawaida HTTPS kwa kutumia Tor
Unganisho za HTTPS hutumiwa kulinda mawasiliano juu ya mitandao ya kompyuta. unaweza kusoma zaidi kuhusu HTTPS hapa. Tor Browser's HTTPS-Only modeautomatiki unaweza kubadili maelfu ya kurasa zilizosimbwa "HTTP" kwa usiri wa "HTTPS".
Tor inazuia watu wasioshiriki katika mawasiliano kujua tovuti ambazo umetembelea. Hata hivyo, taarifa zinazotumwa bila kusimbwa kwa njia ya mtandao kwa kutumia HTTP kawaida bado zinaweza kuingiliwa na exit relay au mtu yeyote wa uendeshaji anaeangalia usafirishaji wa data kati ya exit relay yako na mwisho wa tovuti. Ikiwa tovuti unayotembelea inatumia HTTPS, basi usafirishaji wa data inayotoka kwenye exit relay itakuwa imesimbwa, na haitakuwa wazi kwa watu wanaojaribu kufuatilia mawasiliano yako.
Mchoro ufuatao unaonyesha taarifa zipi zinaonekana kwa wasikilizaji wa siri ukitumia au usipotumia usimbwaji wa Tor Browser na HTTPS:
PakuaTor Browser ili kupata uzoefu wa kuperuzi mtandaoni bila kufuatiliwa,kuchukuliwa taarifa zako na kudhibitiwa.
Pakua Tor BrowserKukuza haki za kibinadamu na uhurukwa kuunda na kusambaza teknolojia huru zinazopatikana bure na zenye kuwa na faragha na kutojulikana, kusaidia kutokuwa na upatikanaji na matumizi yaliyozuiliwa, na kuongeza uelewa wao wa kisayansi na mkubwa.
Alama ya biashara, tangazo la hatimiliki, na sheria za kutumiwa na wahusika wasio wa moja kwa moja zinaweza kupatikana katika FAQ yetu.