Tor Browser kwa sasa inapatikana kwenye Windows, Linux na macOS.

Kuna toleo la Tor Browser kwa Android na The Gurdian Project pia wanatoa Orbot app kuruhusu app nyingine katika kifaa chako cha Android katika mtandao wa Tor.

Hakuna toleo rasmi la Tor Browser kwa ajili ya iOS kwa sasa, japo tunapendekeza Onion Browser.