Ulinzi mwingi wa antivirus au programu hasidi huruhusu mtumiaji "kuorodhesha" michakato fulani ambayo ingezuiliwa. Please open your antivirus or malware protection software and look in the settings for an "allowlist" or something similar. Next, include the following processes:

  • Kwa window
    • firefox.exe
    • tor.exe
    • lyrebird.exe (kama unatumia daraja)
    • snowflake-client.exe
  • Kwa macOS
    • TorBrowser
    • tor.real
    • lyrebird (kama unatumia daraja)
    • snowflake-watumiaji

Hatimae,anza tena Tor Browser. Hii inapashwa kurekebisha masuala uliyokumbana nayo. tafadhari kumbuka kwamba wateja wa antivirus, kama Kaspersky, pia anatakiwa afungiwe Tor katika nafasi ya firewall.