Kwa nini mzigo wa Relay hutofautiana

Tor inasimamia upana wa mtandao mzima. Inafanya kazi nzuri kwa zaidi ya maeneo ya relays. Lakini malengo ya Tor ni tofauti na utaratibu kama BitTorrent. Tor inataka kurasa za wavuti zenye kuchelewa kidogo, ambazo zinahitaji uhusiano wa haraka wenye nafasi ya ziada. BitTorrent zinataka kupakua kwa wingi, mahitaji gani yanatumia vipimo data vyote.

tunafanyia kazi new bandwith scanner, ambayo ni rahisi kuelewa na kudumisha. Itakuwa na uchambuzi kwa ajili ya relay ambayo haijapimwa na relay ambazo zina vipimo vidogo.

Kwa nini Tor inahitaji skana ya kipimo data?

Watoa huduma wengi hukwambia kasi kubwa zaidi ya uunganisho wako wa ndani. Lakini Tor ina watumiaji wote duniani, na watumiaji wetu hujiunganisha na guar relay moja au mbili bila mpangilio. Hivyo tunahitaji kujua vizuri jinsi relay inavyoweza kuunganisha ulimwengu mzima.

So even if all relay operators set their advertised bandwidth to their local connection speed, we would still need bandwidth authorities to balance the load between different parts of the Internet.

Mzigo wa kawaida wa relay ni nini?

Ni kawaida kwa baadhi ya relays kupakiwa kwa asilimia 30%-80% kulingana na uwezo. hii nzuri kwa watumiaji: relay iliozidiwa ina utulivu wa hali ya juu. (Tunataka relay za kutosha ili kila relay izunguke kwa 10%. Ndipo Tor itakua haraka kama mtandao mapana).

Wakati mwingine, relay huchelewa kwa sababu ya kasi ndogo ya kichakata au uhusiano wake umepunguzwa. Wakati mwingine, mtandao ndio unaosababisha kupungua kasi: relay kina mawasiliano mabovu na kiunganishi kingine cha tor au kipo mbali sana.

Kutafuta nini kinaizuia Relay

Vitu vingi vinaleta chini relay. hapa ni jinsi ya kuchukua data kwa chini.

Mipaka ya mfumo

  • Angalia RAM, CPU na soketi/utumiaji wa maelezo ya faili kwenye relay yako

kumbukumbu ya baadhi ya Tor kama zikianzishwa. zingine zinaweza kuonyeshwa kwa vifaa sawa.

Mipaka ya mtoa huduma

  • Angalia utazamaji wa mtandao (kipimo data, utulivu) kutoka kwa mtoa huduma wako wa relay kwenda kwenye relay ngingine. Relays zinazosafirishwa kupitia Comcast yamekuwa polepole wakati mwingine. Relays nje ya Amerika ya Kaskazini na Magharibi mwa Ulaya kawaida huwa ipo taratibu.

Mipaka ya mtandao wa Tor

Upana wa mtandao wa kiwango cha usafirishaji wa data kwa relay unaweza kupunguzwa na upana wa mtandao ulioonekana wa kiwango cha usafirishaji wa data, au kupimwa na directory authorities. Hii hapa ni namna ya kutafuta kipimo kivi kimezuia relay yako:

  • Angalia kila kura kwenye relay yako kwenye (ukurasa mkubwa) wa afya -consensus, na angalia wastani. Kama relay yako haijawekwa alama kutumia baadhi ya directory authorities:
    • Ina anwani isiyo sahihi ya IPv4 au IPv6?
    • Ni anwani ya IPv4 au IPv6 ambayo haipatikani kwa baadhi ya mitandao?
    • Kuna zaidi ya Relay 2 kwenye anwani ya IPv4?

Wakati mwingine, angalia kasi ya relay ya uchunguzi wa kiwango cha data inayosafirishwa. Angalia relay yako kwenye Metrics. Kisha weka mouse juu ya kiwango cha data kuona kiwango cha relay na kiwango cha usafirishaji wa data.

Hizi ni baadhi ya taarifa na baadhi ya mifano: Drop in consensus weight na Rampup speed of Exit relay.

Narekebishaje

Nambari ndogo zaidi kati ya hizi inapunguza wigo wa kiwango cha usafirishaji wa data uliotengwa kwa ajili ya relay.

  • Kama kiwango cha kipimo data, inaongeza Bandwidthrate/ Burst au RelayBandwidthRate/ Burst kwenye torrc yako.
  • Kama kipimo data kimezingatiwa, relay yako haitakuuliza kwa ajili ya kipimo data zaidi hadi inapojiona imekua haraka. unatakiwa kufanyia kazi kwanini ipo chini.
  • Kama wastani ulipimwa na kipimo data, relay yako itaonekana polepole kutoka kwenye mamlaka nyingi za kipimo data. unatakiwa kufanyia kazi kwanini wanapima ikiwa chini.

Kufanya vipimo vyako vya Relay

Kama relay yako inashani ni polepole au mamlaka ya kipimo data hudhani ni polepole, unaweza ukapima kipimo data mwenyewe:

  • Fanya kipimo ukitumia tor kuona jinsi tor inavyoenda haraka kwenye mtandao wako /CPU.
  • Fanya kipimo ukitumia Tor na chutney kutambua namna gani tor ina haraka kwenye CPU yako. Endelea kuongeza kiasi cha data hadi kipimo data kitaposimama kuongezeka.