Sio zote, tunaendelea kuwekeza kuboresha utumiaji wa Tor Browser, kama tulivyofanya miaka mitano iliyopita katika matoleo makubwa ambayo yalihusisha maboresho ya uzoefu wa watumiaji. Vilevile tunaanya kazi kwa bidii kuimarisha Tor Browser kwa watumiaji wa Android katika vipengele ya toleo la desktop.

Maendeleo ya browser ya Mullvad imetusaidia kushughilikia masuala ya urithi, kanuni na kurekebisha udhaifu. Haiathiri utendaji kazi wetu kwenye Tor Browser.