This is possible because of donations from our community. If you value the privacy that Tor offers yourself and others, please make a donation today. You’ll ensure Tor continues to provide online privacy to everyone who needs it.
Hata kama maombi yako yanatumia toleo sahihi la itifaki ya SOCKS, bado kuna hatari kwamba inaweza kuvuja maswali ya DNS. Tatizo hili hutokea kwenye vipengele vya Firefox ambavyo hupata majina ya kikoa ya marudio wenyewe, kwa mfano kuonyesha anwani yake ya IP, nchi ilipo, n.k. Ikiwa una mashaka kwamba programu yako inaweza kujitokeza hivi, fuata maelekezo hapo chini ili uweze kufanya uchunguzi.
1.ongezaTestSocks 1
kwenyetorrc fileyako.
Anza Tor, na weka mipangilio ya proksi ya programu yako kuwa kwenye seva ya SOCKS5 ya Tor (socks5://127.0.0.1:9050
kwa chaguo-msingi).
1 Angalia kumbukumbu zako unapotumia programu yako. Kwa kila uunganisho wa soksi, Tor itarekodi onyo
kwa uunganisho salama, na onyo
la tahadhari" kwa uunganisho unaovuja maombi ya DNS.
Ikiwa unataka kuzima moja kwa moja uunganisho wote unaovuja maombi ya DNS, weka SafeSocks 1
katika faili yako ya torrc.
PakuaTor Browser ili kupata uzoefu wa kuperuzi mtandaoni bila kufuatiliwa,kuchukuliwa taarifa zako na kudhibitiwa.
Pakua Tor BrowserKukuza haki za kibinadamu na uhurukwa kuunda na kusambaza teknolojia huru zinazopatikana bure na zenye kuwa na faragha na kutojulikana, kusaidia kutokuwa na upatikanaji na matumizi yaliyozuiliwa, na kuongeza uelewa wao wa kisayansi na mkubwa.
Alama ya biashara, tangazo la hatimiliki, na sheria za kutumiwa na wahusika wasio wa moja kwa moja zinaweza kupatikana katika FAQ yetu.