Tor project hudumisha Debian package repository. Kwa kuwa Debian hutoa toleo la Tor, hii inaweza isikupe toleo jipya la Tor lililo thabiti. Kwa hiyo, inashauriwa kusanikisha tor kutoka katika hazina yetu.

Hivi ndivyo unaweze kuwezeshasha hifadhi ya vifurushi vya Tor katika usambazaji wa misingi ya Debian:

Note: The symbol # refers to running the code as root. This means you should have access to a user account with system administration privileges, i.e. your user should be in the sudo group.

Sharti: Thibitisha usanifu wa CPU

Hazina ya kifurushi inakupa baniries amd64, arm64, and i386. Kuthibitisha mfumo wako wa uendeshaji una uwezo wa kuendesha binary kwa kukagua matokeo ya command zifuatazo:

  # dpkg --print-architecture

Inapaswa kutoa ama amd64, arm64, or i386. hifadhi haiwezeshi usanifu wa CPU ingine.

Kumbuka: Hifadhi ya kifurushi haitoi usanifu wa 32-bit ARM (armhf) picha (yet). Utapaswa kusanikisha toleo la Debian (Hakikisha umeangalia Debian backports, pia, kwani hiyo mara nyingi huwa na kifurushi cha kisasa zaidi cha Tor), au jenga Tor kutoka kwa chanzo.

1. Sanikisha apt-transport-https

Kuwezesha usimamizi ea vifurushi kwa kutumia libapt-pkg library ili metadata na vifurushi vinavyo patikana katika vyanzo vinavyoweza kufikiwa https (Hypertext Transfer Protocol Secure).

   # apt install apt-transport-https

2. Tengeneza faili jipya katika /etc/apt/sources.list.d/ named tor.list. Na ongeza maagizo yafuatayo:

   deb     [signed-by=/usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org <DISTRIBUTION> main
   deb-src [signed-by=/usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org <DISTRIBUTION> main

Kama unataka kujaribu vifurushi majaribio, ongeza hii in addition katika mstari kutoka juu:

   deb     [signed-by=/usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org tor-experimental-<DISTRIBUTION> main
   deb-src [signed-by=/usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org tor-experimental-<DISTRIBUTION> main

Au ujenzi wa usiku:

   deb     [signed-by=/usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org tor-nightly-main-<DISTRIBUTION> main
   deb-src [signed-by=/usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org tor-nightly-main-<DISTRIBUTION> main

Badili <DISTRIBUTION> kwa mfumo wako wa uendeshaji codename. Run lsb_release -c or cat /etc/debian_version kwa kuangalia toleo la mfumo wa uendeshaji.

Kumbuka: Ubuntu Focal hutoa msaada kwa 32-bit, kwa hiyo tumia inapobidi:

   deb     [arch=<ARCHITECTURE> signed-by=/usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org focal main
   deb-src [arch=<ARCHITECTURE> signed-by=/usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg] https://deb.torproject.org/torproject.org focal main

Badili <ARCHITECTURE> na usanifu wa mfumo wako (uliupata mapema kwa kuandikadpkg --print-architecture).

Dalili ya onyo, wakati unatumia sudo apt iliyosasishwa:

   Skipping acquire of configured file 'main/binary-i386/Packages' as repository 'http://deb.torproject.org/torproject.org focal InRelease' doesn't support architecture 'i386'

3. Halafu ongeza gpg key itakayotumika kuweka sahihi ya vifurushi kwa kutumia command ifuatayo katika command prompt yako:

   # wget -qO- https://deb.torproject.org/torproject.org/A3C4F0F979CAA22CDBA8F512EE8CBC9E886DDD89.asc | gpg --dearmor | tee /usr/share/keyrings/tor-archive-keyring.gpg >/dev/null

4. Sanikisha tor na tor debian keyring

Tunatoa vifurushi vya Debian kukusaidia uendelee kutumia ufunguo wetu wa kusaini. Inashauriwa kuutumia. Isasishe kwa command ifuatayo:

   # apt update
   # apt install tor deb.torproject.org-keyring