Sio sana, katika mpango mkuu wa vitu. Mtandao umekua ukifanya kazi tangu mwezi wa kumi 2003, na imeibua malamaiko machache tu. Bila shaka, kama mitandao yote inayolenga faragha katika mtandao, inavutia seheme zake za jerk. Sera za kujitoa kwenye Tor zinasaidia kutofautisha nafasi ya "utayari wa kuchangia rasilimali kwenye mtandao" kutoka kwenye nafasi ya "utayari wa kushughulikia malalamiko ya unyanyasaji", hivyo tunatumai mtandao wetu unafaa zaidi kuliko majaribio yaliyopita katika mitandao ya kutojulikana.

Kwa kuwa Tor ina matumizi mengi mazuri, tunajihisi tunanfanya kazi nzuri katika kupigania usawa kwa sasa.